Godsave Sakafu Ashinda Tuzo Ya Maranatha Kenya.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 24
    Shares

Mchungaji Wa Kanisa La Victory Christian Center International (VCCI) Godsave Sakafu Ameshinda Tuzo Ya Maranatha Award Kutoka Kenya Katika Kipengele Cha Best Talent Nurture.

Tuzo Hiyo Ameipata Kama Pongezi Kwa Kukuza Na Kulea Vipaji Huku Moja Ya Kipaji Alichokikuza Na Kukilea Ni Cha Mke Wake Angel Benard.

Nje Ya Uchungaji Godsave Ni Mume Wa Mwimbaji Angel Benard Na Manager Anaesimamia Kazi Zake.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 24
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*