Watoto Wawili Wafariki Kwa Ajali Ya Moto.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 6
    Shares

Watoto wa kike wawili, mmoja wa miaka miwili na mwingine wa miezi 6 wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuungua kwa moto.

Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 7 katika katika kijiji cha Rwazi katika Kata ya Kikuku kule Muleba Kagera.

Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni kibatari kilichokuwa kikiwaka kuangukia godoro na chandarua.

Aidha, inadaiwa kuwa wakati tukio hilo linatokea mama wa watoto hao alikuwa ametoka kidogo.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 6
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*