Miriam Lukindo Afunguka Kuhusu Kuibiwa Wimbo /Haya Ni Maisha Yetu

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 15
    Shares

Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania  Legend Miriam Lukindo Wa Mauki Amefunguka Mambo Mengi Ikiwemo Kuibiwa Wimbo Wake wa Niguse Tena Na Kundi La Kristaal Kutoka Nchini Canada hali ambayo ilipelekea kutokuwa na maelewano mazuri kati yao.

Chris Mauki Ni mume wa Miriam Lukindo na wawili hawa wamekuwa wakifundisha maswala ya mahusiano na Ndoa Kupitia Mitandao Ya Kijamii na wakati mwingine wakionyesha Kwa Vitendo jinsi Wanavyopendana kama vile kufanya mazoezi pamoja n.k. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitoa maoni yao kwenye post zao mtandao kwa kusema kuwa Ndoa Yao Ni Fake,Miriam anatoa mmajibu kutokana maoni ya mashabiki zao.

Live on Live Msikilize Hapa Chini.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 15
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*