Ambassadors Of Christ Wafanya Tour Marekani.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 43
    Shares

Kundi Kubwa La Muziki Wa Injili Kutoka Kigali Rwanda Lijulikanalo Kama Ambassadors Of Christ Limeenda Marekani Kwa Ajili Ya Huduma Kwa Siku Ishirini.

Ikiwa Ni Mara Ya Kwanza Kabisa Kwa Kwaya Hiyo Kufanya Huduma Marekani, Watatembelea Miji Mikuu Miwili Yaani Dallas Texas Pamoja Na Houston Texas.

Kwa Sasa Wanamalizia Huduma Katika Kanisa La Mount Zion Fellowship Lililopo Dallas Texas.

Karibu Kutazama Picha Kuanzia Walipofika Marekani Na Huduma Inayoendelea.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 43
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*