Kanisa La Waadventista Wasabato(SDA) La Kata Ya Iyumba Mkoani Singida Lapata Vyombo Vya Muziki.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

 Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu (katikati) ameendesha harambee ya changizo la Kupata vyombo vya muziki vitakavyotumika kumtukuza Mungu Kupitia Kusifu Na Kuabudu.Harambee Hiyo imefanyika katika Kanisa La Waadventista Wasabato (SDA) la Kata ya Iyumbu  lililopo wilayani Ikungi mkoani humo ambapo jumla ya sh.milioni 4 zilipatika.
Furahia Upako Wa Picha hapa chini.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*