Hizi Ndizo Shukrani Za Walter Chilambo Baada Ya Kushinda Tuzo.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

June 3 Mwaka Huu Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Walter Chilambo Alizindua Album Yake Ya Kwanza Kabisa  Iitwayo ‘Asante’.

Baada Ya Album Hiyo  Sasa Mwimbaji Huyo Ashinda Tuzo Ya Maranatha Award Zilizofikia Kilele Chake Jana Jijini Nairobi.

Walter Ameshinda Katika Kipengele Cha Best Turn Around Testimony Minister.

Katika Account Yake Instagram Ameandika;

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*