“Asante” – Video Mpya Kutoka Kwa Janet Otieno.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 26
    Shares

Mwimabji Mkubwa Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Ambae Amekua Kati Ya Wanamuziki Wakubwa Wanaofanya Vizuri Afrika Mashariki Janet Otieno Ameachia Video Yake Mpya Iitwayo ‘Asante’.

Akiachia Video Hiyo Katika Mitandao Ya Kijamii Aliandika “Madhaifu yangu mapungufu yangu,kiburi changu,umenipendea nini Baba…. ASANTE is officially out family!! This is a song that is close to my heart,reminding us of God’s love even when were aren’t worthy of it!”.

Furahia Upako Wa Video;


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 26
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*