KKKT Waijibu Barua Ya Serikali, Waomba Kuongezewa Siku 30….

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 14
    Shares

Mnamo tarehe 7/06/2018, Wabunge wa CHADEMA/UKAWA wakiongozwa na Mbunge wa Vunjo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Waziri Kivuli wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilisno, Mh. James Mbatia, waliitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari, jijini Dodoma na kulitaka Kanisa la KKKT, kutoijibu Barua kutoka kwa Msajili wa Vyama, Wizara ya Mambo ya Ndani, iliyowataka pamoja na mambo mengine, kufuata Masharti ya Usajili wa Taasisi yao.

Hata hivyo, kwa lengo la kudumisha amani na mshikamano wa Watanzania, Kanisa la KKKT wameijibu Barua hiyo ya Msajili.

Wamedai siku 10 zilizotolewa hazitoshi, waomba angalau wapewe siku 30 ili maaskofu wakae kikao kujadili suala la waraka wa Kwaresma.

IMG_4058.JPG
IMG_4060.JPG

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube  “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 14
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*