Chris Shalom Alieimba Wimbo Wa ‘My Beautifier’ Atua Tanzania.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 70
    Shares

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Alievuma Na Nyimbo Zake Kama My Beautifier Pamoja Na Your The Reason, Chris Shalom Ametua Tanzania Asubuhi Ya Leo.

Mwimbaji Huyo Amekuja Tanzania Kwa Ajili Ya Event Kubwa Ijulikanayo Kama Daughter Of ZionĀ  Itakayofanyika Siku Ya Kesho Katika Kanisa La St. Peter Oysterbay .

Mwimbaji Huyo Atahudumu Katika Event Hiyo Ambayo Imeandaliwa Na Prophetess Trizah Maalumu Kabisa Kwa Ajili Ya Wanawake. Chris Shalom Atasimama Kuhudumu Akishirikiana Na Mwimbaji Anayefanya Vizuri Kutoka Hapa Tanzania Joel Lwaga.

Ujio Huo Umethibitishwa Na Prophetess Trizah Pamoja Na Joel Lwaga.

 

Jiunge nasi kupitiaĀ Facebook, Twitter , InstagramĀ NaĀ YoutubeĀ ā€œjohnpaziaā€ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 70
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*