TOP 10: List ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi 2017/18

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Jarid la Forbes ambalo limekuwa na utamaduni wa kuandika habari zenye utafiti kutokana na uchunguzi wao, leo limetaja list ya wanamichezo wanaoongoza kulipwa pesa nyingi kwa mwaka.

Bondia Floyd Mayweather Jr (Kushoto) na Conor McGregor

List hii iliyotolewa na Forbes ni kuanzia June 2017 hadi June 2018 ambapo bondia Floyd Mayweather ndio ameongoza katika list hiyo akifuatiwa na Lionel Messi na watatu Cristiano Ronaldo.

Katika TOP 10 hii hakuna list ya mwanamichezo wa kike aliyefanikiwa kuingia katika TOP 10 ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*