Rev. Lucy Natasha Apokea Tuzo Ya Africa Prestigious Awards – Ghana.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 12
    Shares

Muhubiri Wa Kimataifa Mwenye Nguvu Kutoka Kenya Rev. Lucy Natasha Apokea Tuzo Ya Africa Prestigious Awards (APA) 2017 Ya Heshima Nchini Ghana .

Amepokea Tuzo Hiyo Kutokana NaKazi Kubwa Inayofanywa Na Natasha Hand of Compassion Team Nchini Kenya.

Pia Alipata Nafasi Ya Kuhudumu Kabla Ya Utoaji Wa Tuzo Hizo.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 12
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*