Hii Ndio Video Mpya Kutoka Kwa Joyce Irungu “Urejesho”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 5
    Shares

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Joyce Irungu Baada Ya Kimya Kirefu Sasa Arejea Na Video Ya Wimbo Wake Mpya Iitwayo Urejesho.

Mwimbaji Huyo Ameachia Wimbo Huo Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Muda Mrefu Bila Kuachia Wimbo Mpya.

 

Ziruhusu Mboni Mbili Za Macho Yako Kufurahia Upako Wa Video;


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 5
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*