Tuzo za Ndondo Cup 2017 zilivyotolewa kwa washindi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 19
    Shares

Balozi wa Ndondo Cup-Victor Wanyama

Usiku wa August 21, 2017 waandaji wa michuano ya Ndondo Cup walitoa tuzo mbalimbali kwa washindi wa tuzo binafsi pamoja na zile za vikundi lakini pia zilikuwepo tuzo za heshima.

Tuzo ambazo zilitolewa ni pamoja na shabiki bora, tuzo ya heshima, kikundi bora cha ushangiliaji, mwamuzi bora, mwandishi bora, mpiga picha bora, balozi wa Ndondo Cup, beki bora, kiungo bora, golikipa bora, kocha bora, mfungaji bora na mchezaji bora.

Angalia picha hapa chini ujue kila mshindi aliyefanikiwa kubeba tuzo.

Mchezaji bora-Emanuel Memba (Misosi FC)

Mfungaji bora-Rashid Roshwa (Kibada One) magoli 6
Balozi wa Ndondo Cup-Victor Wanyama
Kiungo bora-Emanuel Pius (Goms United)
Beki bora-Kash kash Kindamba (Keko Furniture)
Kipa bora-Haroun Mandanda (Mlalakuwa Rangers)
Shabani Kazumba-Kocha Bora (Goms United)
Nadim Mohamed-Mwamuzi bora

Kitoto cha Ndondo-Shabiki bora

Jata Boy-Shabiki bora, Misosi FC
Charles Abel-Mwandishi bora
Rachel Palangyo- Mpiga picha bora

Tuzo ya heshima-Dr. Mwaka

Tuzo ya heshima-Azam TV

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 19
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*