Hango Kukaa Miezi Mitatu Nchini Canada

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 204
    Shares

Kiongozi Na Mwanzilishi Wa Kundi La Abednego&Worshipperz Mwl Abednego Hango Amepata Mwaliko Wa Kihuduma Nchini Canada Ambapo Atakaa Huko Kwa Miezi Mitatu.

Nimepiga Nae Story Hango Ameniambia

“Nimekuja huku kwa mwaliko wa kanisa la Calvary Revival lililopa jijini Edmonton. Ntakuwa hapa kwa ajili ya huduma na kuandaa matamasha na workshops mbalimbali za praise and worship.
Pia licha ya kufanya huduma na kanisa hili ntakuwa natengeneza network ya Worshipperz International kwa level ya International ili kuzidi kupanua mipaka na kihuduma.
Ntahudumu pia kwenye miji mingine kwa kuhubiri na pia kwa kuimba kwenye concerts na kwenye praise teams pia.”

 

Hango Akiwa Na Mwenyeji Wake Pastor Dr Boniface Mgonja.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 204
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*