Angel Bernard Anakukaribisha wewe Mwanamke

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Ni heshima yangu kukukaribisha mwanamke au binti ulieko Arusha,Moshi,Manyara na kote. Katika siku maalum ya Wanawake wa Ufalme wa Mungu.

 
Ni tarehe 13/5 mwaka huu. Katika hotel ya NEW SAFARI ( clock tower karibu na CRDB Bank).
Njoo tumsifu Mungu pamoja, tufurahi,tujifunze na kumwinulia sauti zetu kwa pamoja.
Tutakuwa na changizo dogo LA shilingi 5000.

Vinywaji na vitafunwa vitatolewa bure.

Ni SAA 5 asubuhi hadi jioni.
Tafadhali mkaribishe na mwingine.

#B.I.O
Beautiful Inside Out.

SEE YOU THERE.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*